MAFUTA
YA UBUYU:
NI mafuta yatokayo na mbegu ya Ubuyu. Yana Vitamin A, B, C, D,
hadi F; Yanamadini ya Iron, Iodine, Florine, Calcium n.k Yanatibu
magonjwa yafuatayo;1. Yanatengeza seli zote ndani ya mwili 2.
Hutengeneza ngozi isiharibike wala kupata makunyanzi. 3 Yanaondoa mafuta
au cholestrol ndani ya mishipa ya damu.4 Yanapunguza uzito uliozidi. 5
Yana rutubisha ini na figo. 6 Yanaleta hamu ya kula.
7 Yanatibu mifupa na kuimarisha kucha na nywele. 8 Yanaongeza nguvu ya
mwili (CD4). 9 Yanaondoa sumu. 10 Yanatengeza sukari iwe katika kiwango
kinachotakiwa,11 Yanasaidia kuona vizuri na kumbumkumbu. 12 Yanapunguza
vitambi na matumbo makubwa. 13 Yanavirutubisho vyote ndani ya mwili. 14
Yanaondoa madoa na chunusi, fangasi upele, mmba, na muwasho. 15 Yanafaa
kwa walemavu wa ngozi. 16 Huondoa hamu ya kutumia madawa ya kulevya. 17
Hutibu vidonda vya tumbo. n.k
MATUMIZI: USICHEMSHE; Watu wazima: Kijiko kimoja cha chakula (1*2) kwa siku. Watoto: Kijiko kimoja cha chai (1*2) kwa siku
UNGA
WA TUNDA LA UBUYU ( JUICE):
Ni unga unaotokanao na mbegu ya tunda la
ubuyu unaotoka juu ya kokwa. Ni juisi yenye vitamini C kwa wingi kuliko
tunda lolote lile. Pia inaongeza kumbukumbu na huleta hamu ya kula kwa
afya.
MATUMIZI: Tumia kijiko kimoja cha chakula kwenye kikombe cha
chai kimoja (1) au kwa kadili ya mchanganyiko uupendao. Kunywa mara kwa
mara unapojisikia kunywa juici hii ya ubuyu
SABUNI
YA UBUYU:
Ni sabuni bora zaidi kuogea kuliko sabuni yeyote; huondoa
mabaka, mba, chunusi, upele, madoa na muwasho wa ngozi. Hulainisha ngozi
na kuifanya yenye mvuto daima.
MATUMIZI: Tumia wakati wa kuoga au
hata katika kunawa uso paka kwa wingi kaa na povu kwa mda wa dakika tatu
hadi tano na jioshe vizuri kwa maji safi.
UNGA
WA MBEGU ZA UBUYU ( UBUYU LISHE).
Ni unga unaotokana na mbegu ya ubuyu.
Vitamin C, B1, B2, Omega6, phosphorus, Calcium, Potassium, magnesium,
protin na Fati. Hutengeneza seli za mwili na ngozi, huondoa gesi
tumboni, huondoa chrolestral, huongeza nguvu za mwili na kuimarisha
misuli kwa wanamichezo, inasaidia mifupa na meno, inasadia kumbukumbu.
Hutibu BP. MATUMIZI: Tumia kwa kuilamba au kwenye chai. Kijiko cha chai
(1*2) kwa mtoto tumia nusu kijiko cha chai (1*2).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni